Abdon na Senen (Uajemi, karne ya 3 - Roma, Italia, 251 hivi) walikuwa mateka wa vita walioletwa Roma.

Abdon na Senen

Wat. Abdon na Senen walivyochorwa.
Feast

Huko waliingia Ukristo na kwa ajili hiyo waliuawa katika dhuluma ya kaisari Decius [1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 30 Julai[2] au 20 Machi au Jumapili ya kwanza ya Mei[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90207
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN 88-209-7210-7)
  3. Holweck, F. G., "A Biographical Dictionary of the Saints," St. Louis, MO: B. Herder Book Co., 1924.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.