Abushiri ibn Salim al-Harthi
(Elekezwa kutoka Abushiri)
Abushiri ibn Salim al-Harthi alikuwa kiongozi wa upinzani dhidi ya ukoloni wa Wajerumani katika maeneo ya Pangani na pwani ya Tanzania ya leo mnamo 1889.
Abushiri ibn Salim al-Harthi | |
Abushiri mnamo 1888. | |
Amekufa | 1889 |
---|---|
Nchi | Tanzania |
Kazi yake | Mwanasiyasa |
Alikuwa mfanyabiashara na mwenye mashamba ya miwa karibu na Pangani.
Mnamo Agosti 1889 aliongoza upinzani dhidi ya utawala wa Shirika la Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki katika eneo la Pangani.
Baada ya miezi ya mapambano (taz. vita ya Abushiri) alikamatwa na hatimaye kunyongwa na Wajerumani tarehe 16 Desemba 1889.
Marejeo
hariri- Glassmann, J.: Bushiri bin Salim, makala katika Dictionary of African Biography, ed. Emmanuel Kwaku Akyeampong & Steven J. Niven, uk. 13f, ISBN-13: 978-0195382075, ISBN-10: 0195382072
- Pugu hadi Peramiho - kimehaririwa na P. Gerold Rupper, OSB, BPNP, Peramiho 1988, ISBN 9967 67 031 1
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abushiri ibn Salim al-Harthi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |