Adelaide Brando
Adelaide Brando (jina la kitawa kwa Kiitalia: Maria Cristina dell'Immacolata Concezione; Napoli, 1 Mei 1856 – Casoria, 20 Januari 1906) alikuwa mtawa wa italia, mwanzilishi wa Masista Wahanga wa Malipizi wa Yesu Ekaristi.
Bikira huyo alijitolea maisha yake pamoja na shirika lake hilo kwa malezi ya Kikristo ya watoto.
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 2 Julai 2003, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 17 Mei 2015.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |