Adriano wa Nikomedia

Adriano wa Nikomedia (aliuawa tarehe 4 Machi 306)[1] alikuwa mkuu wa walinzi wa kaisari Galerius[1].

Sanamu ya Mt. Adriano nchini Ufaransa.
Picha takatifu ya Adriano na Natalia kutoka Urusi.

Alipokuwa na umri wa miaka 28, aliongokea Ukristo pamoja na mke wake Natalia[2], ilimbidi Adriano afie dini hiyo katika mji Nikomedia,[1][3] leo nchini Uturuki.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa na Waorthodoksi katika tarehe tofauti; kwa Wakatoliki ni tarehe 8 Septemba.[4]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. 1.0 1.1 1.2 Kirsch, J.P. (1910). "Hadrian". The Catholic Encyclopedia. 7. Robert Appleton Company. http://www.newadvent.org/cathen/07105a.htm. Retrieved 2007-12-29.
  2. "St. Natalia, Martyr", Antiochian Orthodox Christian Archdiocese
  3. Jones, Terry. "Adrian of Nicomedia". Patron Saints Index. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 January 2008. Iliwekwa mnamo 2007-12-29.  Check date values in: |archivedate= (help)
  4. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)

Marejeo hariri

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John (1993). The Penguin Dictionary of Saints (toleo la 3rd). New York: Penguin Books. ISBN 0-14-051312-4. 
  • Greene, E. A. (1908). "S. Adrian". Saints and Their Symbols: A Companion in the Churches and Picture Galleries of Europe. uk. 32. OCLC 16907745. 

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.