Agatha mfiadini
(Elekezwa kutoka Agatha)
Agatha (jina hilo la Kigiriki lina maana ya "Mwema") alikuwa bikira wa Catania, Sicilia, leo nchini Italia (230 - 251) aliyefia dini ya Ukristo, akitunza hivyo safi mwili wake na imani yake sawia kumshuhudia ujanani Kristo kuwa Bwana katika dhuluma ya kaisari Decius.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 5 Februari ambayo ndiyo sikukuu yake[1].
Picha
hariri-
Ravenna, Basilica di Sant'Apollinare nuovo, Kesi ya Mabikira.
-
Mt. Agatha gerezani, Kanisa kuu la Catania.
-
Mt. Agatha alivyochorwa na Francisco de Zurbarán.
-
Kifodini cha Mt. Agatha.
-
Kifodini cha Mt. Agatha.
-
Kifodini cha Mt. Agatha kilivyochorwa na Giovanni Battista Tiepolo.
-
Masalia ya Mt. Agatha yanatunzwa katika kazi hii ya mwaka 1376.
-
Nguzo iliyojengwa kwa heshima ya Mt. Agata kama shukrani.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Salvatore Consoli, Sant'Agata Vergine e Martire catanese, Catania 1973
- Adolfo Longhitano, Il culto di sant'Agata in Agata, la santa di Catania, Bergamo 1998
- Fortunato Orazio Signorello, Dalla Sicilia al Piemonte, in Agata, nobile e martire, Prospettive, Catania 1991
- Santo Privitera, Il libro di sant'Agata, Boemi editore, Catania 1999
- Gateano Zito, S. Agata da Catania, Gorle (GB) 2004
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Patron Saints Index: Saint Agatha Ilihifadhiwa 30 Aprili 2007 kwenye Wayback Machine.
- "St. Agatha" in Christian Iconography Ilihifadhiwa 13 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |