Agnelo wa Napoli (pia: Anielo; 535 hivi - 596 hivi) alikuwa abati wa monasteri ya Waaugustino Napoli, Italia anayesifiwa kwa miujiza yake[1].

Sanamu yake huko Sant'Agnello, kijiji chenye jina lake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Alfredo Cattabiani, Santi d'Italia, Milano, Rizzoli, 1993, ISBN 88-17-84233-8
  • Piero Bargellini, Mille Santi del giorno, Vallecchi editore, 1977
  • Bonaventura Gargiulo, Il glorioso S. Agnello, abate: studio storico critico, con appendici, Stab. tip. librario A. e S. Festa, 1903
  • Anselmo Lettieri, S. Agnello Abate, il suo corpo e il suo culto in Lucca, La Tipografica di O. & E. Malanima, Lucca, 1948
  • Andrea Manzo, Relazione Storica della parrocchia di Gargani e brevissima vita del Gran Patrono S. Agnello Abbate, Tipografia "Dante Alighieri, 1911

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.