Agripano
Agripano (pia: Agreve; alifariki karne ya 7) alikuwa askofu wa Puy-en-Velayx (leo nchini Ufaransa) kuanzia mwaka 649 hivi [1].
Mtu mwenye asili ya Hispania, baada ya juhudi nyingi za kichungaji, aliuawa na Wapagani akiwa njiani kurudi Velay kutoka Roma.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Februari.[2]
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |