Alberiko Crescitelli
Alberiko Crescitelli, P.I.M.E. (Altavilla Irpina, 30 Juni 1863 - Yentsepien, 21 Julai 1900) alikuwa padri wa Italia aliyefia Ukristo nchini China wakati wa Uasi wa Waboksa.
Hao walimpiga kikatili hata karibu kiasi cha kufa. Kesho yake, kisha kumfunga miguu, walimburuta kwenye njia iliyojaa mawe hadi mtoni walipomkata vipandevipande hadi kichwa chake[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 21 Julai[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |