Alfio na wenzake Filadelfi na Sirini (walifariki Lentini, Sicilia, 253) walikuwa ndugu Wakristo wa mji wa Vaste (Puglia, Italia Kusini) waliotekwa na serikali ya Dola la Roma na kupelekwa sehemu mbalimbali hadi walipofia dini chini ya kaisari Valeriani[1][2][3].

Sanamu za Wat. Alfio Filadelfi na Sirini huko Paternò.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Mei[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.