Alois Batis na wenzake
Alois Batis na wenzake (majina kamili kwa Kihispania: Luis Bátis Sáinz, Emanuel Morales, Salvatore Lara Puente, David Roldán Lara; waliuawa Chalchihuites, Durango, 15 Agosti 1926) walikuwa Wakristo wa Meksiko waliouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero[1].
Alois alikuwa padri wa Kanisa Katoliki, wengine walei.
Papa Yohane Paulo II aliwatangaza wenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu watakatifu wafiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzao 21 waliofia dini katika vita hivyo[2]:
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwao wenyewe ni tarehe ya kifodini chao[3].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90115
- ↑ "List of San Cristobal and companions, St. Cristobal Magallanes and Companions Church, Mission, Texas". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-24. Iliwekwa mnamo 2020-04-13.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |