Androniko na Athanasia

Androniko na Athanasia walikuwa Wakristo wa Antiokia ya Syria (leo nchini Uturuki) kati ya karne ya 4 na ya 5.

Mume na mke, walipofiwa watoto wao wawili, walikubaliana kutengana wakaenda kuishi kwa sala na toba katika Misri Kusini.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Oktoba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.