Anfiloki wa Ikonio

Anfiloki wa Ikonio (alizaliwa Kapadokia, leo nchini Uturuki, 340 hivi - Konya, Likaonia 403 hivi) alikuwa mmonaki, askofu wa Konya kuanzia mwaka 374 na mwanateolojia maarufu, ndugu wa Gregori wa Nazianzo na rafiki wa Basili Mkuu.

Mchoro mdogo wa Mt. Anfiloki.

Aliishi nao upwekeni halafu akawa mwenzao katika uaskofu; maarufu kwa utakatifu na kwa mafundisho yake bora, alipitia majaribu mengi kwa ajili ya imani sahihi [1].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu na mmojawapo kati ya mababu wa Kanisa.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 23 Novemba[2].

Maandishi

hariri

Maandishi yake mengi yamepotea. Zimebaki hotuba 8, barua kwa Sinodi ya Ikonio[3] na labda zaidi kidogo.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93189
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  3. Goldhorn, S. Basil., Opp. Sel. Dogm., 630-635.

Vyanzo

hariri
  • G. Ficker, Amphilochiana, I. Teil (Leipzig, 1906).
  • C. Datema, Amphilochii Iconiensis Opera, Turnhout, Brepols 1978 (Corpus Christianorum, Series Graeca, 3).

Marejeo

hariri
  • K. Holl, Amphilochius von Ikonium in seinem Verhältnis zu den grossen Kappadoziern (Tübingen, 1904).
  • C. Bonis, ‘The heresies combatted in Amphilochios’ “Regarding False Asceticism”’, Greek Orthodox Theological Review, 9,1 (1963), 79–96.
  • E. Rossin, ‘Anfilochio di Iconio e il canone biblico “Contra Haereticos”’, Studia Patavina 43,2 (1996), 131–157.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.