Aniseti na Fosyo (walifariki 305) ni Wakristo wa Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki, ambao waliuawa kwa kuchomwa moto wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian kwa sababu walikataa kuabudu miungu[1].

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka hasa tarehe 12 Agosti[2][3] lakini pia 11 Agosti na 8 Agosti.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.