Antioko wa Sulcis (alifariki Sulcis, Sardinia, leo nchini Italia) alikuwa Mkristo aliyepelekwa uhamishoni kwenye migodi ya kisiwa cha Sardinia na hatimaye kuuawa kutokana na imani yake[1].

Sanamu ya Mt. Antioko.

Aliweza kutokea Mauretania au Kapadokia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 13 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.