Antoni Maria Zakaria
(Elekezwa kutoka Antonio Maria Zaccaria)
Antoni Maria Zakaria (kwa Kiitalia Antonio Maria Zaccaria; Cremona, 1502 - Cremona, 5 Julai 1539) alikuwa padri na tabibu kutoka Italia kaskazini.
Alianzisha shirika la Makleri wa Mt. Paulo, maarufu kama Wabarnaba, ila kuamsha maisha ya kiroho ya waumini [1].
Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 3 Januari 1890, tena mtakatifu tarehe 15 Mei 1897.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Marcello Landi, La presenza della Summa Theologiae di Tommaso d'Aquino nei primi due Sermoni di Antonio Maria Zaccaria in Barnabiti Studi 20 (2003), pp. 69–81
- Marcello Landi, Sant'Antonio Maria Zaccaria. Contesto storico-culturale e presenza della Summa Theologiae di san Tommaso d'Aquino nei suoi primi tre sermoni, in Sacra Doctrina. Studi e ricerche n. 52 (3/2006), pp. 46–81
Viungo vya nje
hariri- Catholic Encyclopedia: St. Anthony Mary Zaccaria
- American Catholic article: St. Anthony Zaccaria Archived 2016-05-18 at the Portuguese Web Archive
- Barnabite Spiritual Center - Bethlehem, PA: Spirituality of St. Anthony Mary Zaccaria Ilihifadhiwa 13 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.
- St. Anthony Mary's biography page on the Barnabite Fathers' North American website Ilihifadhiwa 8 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Founder Statue in St Peter's Basilica
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |