Mkoa wa Suez

(Elekezwa kutoka As-Suwais)

Mkoa wa Suez (Kiarabu: محافظة السويس‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 510,935. Mji mkuu ni Suez.

Sehemu ya Mkoa wa Suez



Mkoa wa Suez
محافظة السويس‎

Bendera
Mahali paMkoa wa Suez محافظة السويس‎
Mahali paMkoa wa Suez
محافظة السويس‎
Mahali pa Mkoa wa Suez katika Misri
Majiranukta: 29°59′N 32°33′E / 29.983°N 32.550°E / 29.983; 32.550
Nchi Misri
mji mkuu Suez
Eneo
 - Jumla 17,840 km²
Idadi ya wakazi (2006)
 - Wakazi kwa ujumla 510,935
Tovuti:  http://www.suez.gov.eg/


Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Suez kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.