Asteri wa Ostia (alifariki Ostia, karibu na Roma, Italia, karne ya 3 hivi) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa wakati wa dhuluma ya serikali ya Dola la Roma [1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 19 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.