Aurea wa Paris (Syria, karne ya 7[1]; Paris, leo nchini Ufaransa, 4 Oktoba 666[2][3][4]) kwa miaka 33 aliongoza kama abesi wa kwanza monasteri ya mabikira 300 ambayo ilianzishwa na Eliji wa Noyon huko Paris mwaka 633 na kufuata kanuni ya Mt. Kolumbani[5].

Mt. Aurea katika mchoro wa ukutani.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Oktoba[6]..

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Toussaint-Michel Binet : La Chronologie et la Topographie du Nouveau Bréviaire de Paris, Paris, Cl. J. B. Herissant (Claude-Jean-Baptiste Herissant), 1742.
  2. Abbé Pétin, Dictionnaire hagiographique, vies des saints et des bienheureux, tome I, Paris, 1850, p. 326-327 [1]
  3. Le martyrologe romain fait mémoire de Sainte Aure, Magnificat n. 239, October 2012, p. 72
  4. http://nominis.cef.fr/contenus/saint/1960/Sainte-Aure.html
  5. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91893
  6. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Gilles Cugnier, Histoire du monastère de Luxeuil à travers ses abbés, tome I, ed. Guéniot, Langres, 2004-2006 p. 74, 183

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.