Babu wa Kanisa
(Elekezwa kutoka Baba wa Kanisa)
Babu wa Kanisa ni jina la heshima ambalo kuanzia karne IV Kanisa Katoliki limewapatia Wakristo wa kale (hadi mwaka 750 hivi), wenye utakatifu, elimu na imani sahihi, ambao mafundisho yao yanawezesha kujua mapokeo ya Mitume.
Orodha ya kwanza ya mababu wa Kanisa iliandikwa katika Hati ya Gelasio (karne VI); baadhi yao waliongezewa jina la Mwalimu wa Kanisa.
Muhimu zaidi upande wa Mashariki ni: Atanasi, Basili Mkuu, Gregori wa Nazienzi na Yohane Krisostomo.
Upande wa Magharibi ni: Ambrosi, Agostino wa Hippo, Jeromu na Papa Gregori I.
Viungo vya nje
hariri- Maandishi ya Mababu wa Kanisa kwa Kiingereza
- Maandishi ya Kigiriki
- Maandishi ya Kilatini
- ChurchFathers.org - Madondoo ya Mababu yaliyopangwa kwa mada
- Church Fathers' works in English toleo la Philip Schaff katika Christian Classics Ethereal Library
- Church Fathers at the Patristics In English Project Site Archived 7 Mei 2007 at the Wayback Machine.
- Early Church Fathers Additional Texts Sehemu ya maandishi ya Tertuliani.
- Excerpts from Defensor Grammaticus Archived 11 Julai 2011 at the Wayback Machine.
- Excerpts from the Church Fathers Archived 29 Novemba 2009 at the Wayback Machine.
- The Fathers, the Scholastics, and Ourselves by von Balthasar Archived 2013-06-30 at Archive.today
- Faulkner University Patristics Project Archived 27 Mei 2009 at the Wayback Machine. A growing collection of English translations of patristic texts and high-resolution scans from the comprehensive Patrologia compiled by J. P. Migne.
- Primer on the Church Fathers at Corunum
- Early Church Fathers Writings
- Writings from the church fathers at www.goarch.com. Archived 22 Septemba 2008 at the Wayback Machine.
- The Fathers of the Church: A New Translation toleo la Ludwig Schopp katika Internet Archive
- Early Church Fathers: History of the Early Church in Portraits
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Babu wa Kanisa kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |