Karne ya 4
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 2 |
Karne ya 3 |
Karne ya 4
| Karne ya 5
| Karne ya 6
| ►
Miaka ya 300 |
Miaka ya 310 |
Miaka ya 320 |
Miaka ya 330 |
Miaka ya 340 |
Miaka ya 350 |
Miaka ya 360 |
Miaka ya 370 |
Miaka ya 380 |
Miaka ya 390
Karne ya 4 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 301 na 400. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 301 na kuishia 31 Desemba 400. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/fa/East-Hem_300ad.jpg/300px-East-Hem_300ad.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/32/East-Hem_400ad.jpg/300px-East-Hem_400ad.jpg)
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya binadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.
Matukio
haririKarne: Karne ya 3 | Karne ya 4 | Karne ya 5 |
Miongo na miaka |
Miaka ya 300 | 300 301 302 303 304 305 306 307 308 309 |
Miaka ya 310 | 310 311 312 313 314 315 316 317 318 319 |
Miaka ya 320 | 320 321 322 323 324 325 326 327 328 329 |
Miaka ya 330 | 330 331 332 333 334 335 336 337 338 339 |
Miaka ya 340 | 340 341 342 343 344 345 346 347 348 349 |
Miaka ya 350 | 350 351 352 353 354 355 356 357 358 359 |
Miaka ya 360 | 360 361 362 363 364 365 366 367 368 369 |
Miaka ya 370 | 370 371 372 373 374 375 376 377 378 379 |
Miaka ya 380 | 380 381 382 383 384 385 386 387 388 389 |
Miaka ya 390 | 390 391 392 393 394 395 396 397 398 399 |
- 301: Armenia ni taifa la kwanza kupokea Ukristo jumla
- 325: Mtaguso mkuu wa kwanza unafanyika Nisea (katika Uturuki wa leo)
- 325-328: Dola la Axum (Ethiopia ya leo) linapokea Ukristo
- 350 hivi: Dola la Axum linateka ufalme wa Kush
- 378: Wagoti wanashinda Dola la Roma huko Adrianopoli na kumuua Kaisari Valens
Watu muhimu
hariri- Agostino wa Hippo (354-430), askofu na babu wa Kanisa
- Ambrosi, askofu na babu wa Kanisa
- Antoni wa Misri, alianzisha umonaki katika Misri
- Efrem wa Syria (306-373), shemasi na babu wa Kanisa huko Mesopotamia
- Jeromu, padri na babu wa Kanisa
- Kaisari Diocletianus (245-313) dhalimu mkuu wa Ukristo (284-305)
- Konstantino Mkuu (280 - 337), Kaisari wa Roma (306-337) aliruhusu Ukristo
- Theodosius I (378-395), Kaisari alifanya Kanisa Katoliki kuwa dini rasmi ya Dola la Roma
- Yohane Krisostomo, askofu na babu wa Kanisa
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 4 kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |