Babila na wenzake
Babila na wenzake Urbani, Prilidiani na Epoloni (walifariki 253) alikuwa askofu wa 12 wa Antiokia, leo nchini Uturuki, na watoto watatu aliowafundisha imani ya Kikristo, bila kujali dhuluma ya kaisari Decius[1].
Tangu zamani wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini[2].
Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 24 Januari[3].
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
MarejeoEdit
- Frendo, David (2007). "Dangerous Ideas: Julian's Persian Campaign, Its Historical Background, Motivation, and Objectives". Bulletin of the Asia Institute 21.
Viungo vya njeEdit
- Text of St John Chrysostom's homily on Saint Babylas.
- St. Babilas at the Christian Iconography web site.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |