Baha'i

(Elekezwa kutoka Bahá'í)

Imani ya Bahá'í (kwa Kiparsi |بهائی.) ni dini inayofundisha kuabudu Mungu pekee.

Bahá'í symbol.
Makao makuu ya Bahá'í, huko Haifa, Israel.

Mwanzilishi wake alikuwa Baha'ullah huko Uajemi, (leo Iran) katika karne ya 19, aliyesisitiza umoja wa kiroho wa binadamu wote.[1]

Leo wafuasi wa dini hiyo duniani kote ni kati ya milioni 5 na 6.[2][3]

Katika imani ya Bahá'í, historia inatazamwa kama mfululizo wa wajumbe wa Mungu walioanzisha dini mbalimbali kadiri ya mahitaji ya wakati na watu. Kati yao kuna Abrahamu, Buddha, Yesu, Muhammad na wengineo.

Hatimaye walitokea Báb na Bahá'u'lláh kukamilisha yote ili kuleta amani, haki na umoja.[4]

Bahá'í Temple, Ingleside, Sydney, Australia
Alama za dini mbalimbali zilizochongwa katika nguzo ya Bahá'í House of Worship huko Wilmette, Illinois, Marekani.
Ringstone symbol inamaanisha uhusiano wa watu na Mungu.
Patakatifu pa Báb huko Haifa, Israel.
Hekalu la Bahá'í huko New Delhi, India linalovuta kila mwaka watalii milioni 4 kwa wastani.
Mabustani ya Bahá'í huko Haifa, Israel.
Mwandiko mzuri wa jina kuu.

Tanbihi hariri

  1. Houghton 2004
  2. Bahá'í statistics for a breakdown of different estimates.
  3. Hutter 2005, pp. 737–40
  4. Smith 2008, pp. 107–9
  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.