Bamburi
(Elekezwa kutoka Bamburi (Kampuni))
Bamburi inapatikana katika tarafa ya Kisauni, Kaskazini-Mashariki mwa Kisiwa cha Mombasa. Ni kata ya kaunti ya Mombasa, eneo bunge la Kisauni nchini Kenya[1].
Bamburi | |
Mahali pa mji wa Bamburi katika Kenya |
|
Majiranukta: 4°0′0″S 39°42′59″E / 4.00000°S 39.71639°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Mombasa |
EAT | (UTC+3) |
Simiti ya Bamburi
haririBamburi ndiko kupatikanako kiwanda cha Simiti ya Bamburi, tawi la Lafarge.
Bustani ya Haller
haririMnamo 1971, Rene Haller aligeuza sehemu ya simiti iliyochanganyika na madini mengine kuwa bustani ya Bustani Haller. [2]
Usafiri
haririBamburi inaweza kufikika kwa njia ya basi au matatu kutoka Kisiwa cha Mombasa, leni ya kuelekea Mtwapa au Malindi[3].
Picha
hariri-
Uvuo wa Bamburi
-
Moja ya Hoteli za Uvuo wa Bamburi
-
Uvuo wa Bamburi
Marejeo
hariri- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
- ↑ Haller Park - Bamburi Nature Trail - Kenya - Mombasa Tours
- ↑ Lonely Planet guide to Kenya, uk.193
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bamburi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |