Basili na Prokopi (walifariki Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, karne ya 8) walikuwa wamonaki walioteswa na kufungwa na kaisari Leo III wa Bizanti kwa sababu ya kutetea heshima kwa picha takatifu[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 27 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Bibliotheca Sanctorum II, p. 949
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.