Benedikto wa Antella

Benedikto wa Antella (alifariki Monte Senario, Italia, 20 Agosti 1268) alikuwa mmojawapo[1] kati ya waanzilishi saba wa shirika la Watumishi wa Maria[2].

Waanzilishi saba pamoja.

Alitangazwa na Papa Klementi XI kuwa mwenye heri tarehe 1 Desemba 1717, halafu Papa Leo XIII alimtangaza mtakatifu pamoja na wenzake tarehe 15 Januari 1888.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 17 Februari[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Legenda de origine Ordinis fratrum Servorum Virginis Mariae auctore incerto 1317, a cura di Agostino M. Morini, OSM in: Monumenta Ordinis Servorum Sanctae Mariae (M.O.S.), I, Bruxelles 1897, pp. 60-106.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.