Berardo wa Wamarsi

Berardo wa Wamarsi (pia: Berardo Berardi; Carsoli, Abruzzo, leo nchini Italia, 1079 hivi - San Benedetto dei Marsi, Abruzzo, 3 Novemba 1130) alikuwa kardinali (1099) halafu askofu wa jimbo la Wamarsi (1113) alipojitahidi kupambana na usimoni, kurudisha nidhamu ya wakleri na kutegemeza na kulinda fukara [1].

Sanamu yake huko Celano.

Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu. Papa Pius VII alithibitisha hiyo tarehe 20 Mei 1802.

Sikukuu yake ni tarehe 3 Novemba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Anton Ludovico Antinori, Annali degli Abruzzi, vol. 7, Bologna, Arnaldo Forni Editore, 1971
  • Pietro Antonio Corsignani, Reggia marsicana ovvero memorie topografico-storiche di varie colonie, e città antiche e moderne della provincia dei Marsi e di Valeria, compresa nel vetusto Lazio, e negli Abruzzi, colla descrizione delle loro chiese, e immagini miracolose; e delle vite de' santi, cogli uomini illustri, e la serie de' vescovi marsicani, vol. 2, Napoli, Domenico Antonio Parrino, 1738
  • Jacques Dalarun, Berardo dei Marsi, un modello episcopale gregoriano, traduzione di Maurizio Anastasi, 1ª ed., Carsoli, Comune di Carsoli et al., 2010
  • Cesare d'Engenio Caracciolo, Enrico Bacco, Ottavio Beltrano e al., Breve descrittione del Regno di Napoli, Napoli, 1617
  • Zelina Zafarana, BERARDO, santo, in Dizionario biografico degli italiani, vol. 8, Istituto dell'Enciclopedia Italiana, 1966

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.