Bernika, Prosdoka na Domnina
Bernika, Prosdoka na Domnina (walifariki Yerapoli, leo nchini Uturuki, mwanzoni mwa karne ya 3) walikuwa wanawake Wakristo waliokufa maji katika mto huku wakijitahidi kukimbia askari waliotaka kuwabaka wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].
Bernika na Prosdoka walikuwa mabikira, Domnina alikuwa mama yao.
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |