Bonaire
Bonaire (au Boneiru) ni kisiwa cha Karibi, karibu na Aruba na Curaçao, kaskazini kwa pwani ya Venezuela (Amerika ya Kusini).
Ni sehemu ya pekee ya Uholanzi.[1][2]
Eneo lake, pamoja na kisiwa kidogo cha jirani kisicho na watu (Klein Bonaire), ni kilometa mraba 294.
Wakazi wa kudumu ni 17,408. Wengi wao huongea hasa Kipapiamentu (74.7%), halafu Kihispania (11.8%) na Kiholanzi (8.8%) ambacho ndicho lugha rasmi.
Mji mkuu ni Kralendijk.
Tanbihi
hariri- ↑ "Wet openbare lichamen Bonaire, Sint Eustatius en Saba
(Law on the public bodies of Bonaire, Sint Eustatius and Saba)". Dutch Government (kwa Kiholanzi). Iliwekwa mnamo 14 Oktoba 2010.{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ The Referendum that wasn't Ilihifadhiwa 8 Julai 2011 kwenye Wayback Machine. – Bonaire Reporter, 24 December 2010
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Serikali
- Bonairegov.nl Ilihifadhiwa 10 Desemba 2014 kwenye Wayback Machine. – official website of the government of Bonaire
- BonaireEconomy.org Ilihifadhiwa 21 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine. – Department of Economic & Labour Affairs (DEZA)
Utalii
- TourismBonaire.com – The Official Bonaire Tourism Site
- BONHATA – Bonaire Hotel and Tourism Association
- Lonely Planet – Bonaire
- Bonaireviews.com Bonaire website with panorama photos
Uasili
- Bonaire National Marine Park Ilihifadhiwa 27 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Washington Slagbaai National Park Ilihifadhiwa 21 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
Habari
- Bonaire Reporter – English language weekly newssheet about Bonaire
WebCams
- Breathe Bonaire – Live webcams from Bonaire (including the first megapixel underwater webcam)
- BonaireWebCams.com – Live webcams from the island of Bonaire
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bonaire kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |