Kipapiamentu (kwa Kiingerezaː Papiamento) ni lugha ya visiwa kadhaa vya Karibi (hasa Aruba, Bonaire na Curaçao) inayotumiwa na watu 341,300[1].

Ni krioli iliyotokana na Kireno (na Kihispania) na inafanana na krioli ya Kabo Verde na Guinea-Bissau, hivi kwamba wataalamu wengi wanadhani ilizaliwa katika pwani za Afrika Magharibi[2][3].

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipapiamentu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.