Bonaventura Porta (Castelmassa, 21 Oktoba 1866 - Pesaro, 15 Desemba 1952) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Italia.

Kaburi lake ndani ya kanisa kuu la Pesaro.

Alipata upadrisho tarehe 22 Machi 1890.

Tangu 1917 hadi 1952 alikuwa askofu wa Jimbo la Pesaro hadi kifo chake.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.