Jimbo Kuu la Pesaro
Jimbo Kuu la Pesaro (kwa Kilatini Archidioecesis Pisaurensis) ni mojawapo kati ya majimbo 223 ya Kanisa Katoliki nchini Italia na kama hayo yote (isipokuwa 3) linafuata mapokeo ya Kiroma.
Askofu mkuu wake ni Piero Coccia.
Jimbo Kuu hilo lina majimbo yafuatayo katika kanda yake: