Cagliari Calcio
Cagliari Calcio (maarufu kama Cagliari; matamshi ya Kiitalia: [ˈkaʎʎari]) ni klabu ya mpira wa miguu huko Italia. Klabu hii kwa sasa inacheza katika Serie A.
Uchezaji bora wa klabu hiyo Ulaya ulionekana kwenye mashindano ya kuwania Kombe la UEFA la mwaka 1993-94, ilitolewa na klabu ya Inter milan katika hatua ya nusu fainali.
Historia
haririKabla ya Serie A
haririCagliari walikuwa mabingwa wa kwanza wa Serie C wakati wa msimu wa mwaka 1951-52; kabla ya hapo kwenye ligi, ubingwa ulishirikisha timu zaidi ya moja.
Mnamo miaka ya 1950 Cagliari ilipandishwa Serie B.
Mnamo mwaka 1954 walishushwa na kupelekwa Serie C kwa sababu ya kushuka kiwango cha uchezaji. Baada ya kushuka kwenye Serie C mwanzoni mwa mwaka 1960, Cagliari iliongeza kasi na ubora wa uchezaji na hatimaye ikafanikiwa kupandishwa kwenye Serie A mnamo mwaka 1964.
Uwanja
haririKlabu ya Cagliari ilihama kutoka katika uwanja wa Stadio Amsicora kwenda katika uwanja wa Stadio Sant'Elia mnamo mwaka 1970, baada ya kushinda taji lao pekee la ligi.
Mizozano na baraza la mji juu ya ukarabati wa uwanja ilimaanisha kuwa Cagliari alicheza michezo yao ya mwisho ya nyumbani ya mwaka 2011-12 huko Stadio Nereo Rocco katika Peninsula ya Italia.
Kwa misimu mingi uliofuata, klabu ya Cagliari ilicheza kwenye uwanja wa Stadio Is Arenas karibu na manispaa ya Quartu Sant'Elena.Uwanja wa Sant'Elia ulibomolewa mnamo mwaka 2017, na kilabu ilihamia uwanja wa Sardegna Arena.
Heshima
haririMataji ya kitaifa
hariri- Serie A:
- Washindi (1): 1969–1970
- Serie B:
- Washindi (1): 2015–2016
- Serie C / Serie C1:
- Washindi (4): 1930–1931, 1951–1952, 1961–1962, 1988–1989
- Coppa Italia Serie C:
- Washindi (1): 1988–1989
- Campionato Sardo di I Divisione:
- Washindi (1): 1936–37
Mataji ya Ulaya
hariri- Hatua ya nusu fainali (1): 1993–1994
Wachezaji
haririKikosi cha sasa( mwaka 2020)
haririNote: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
|
|
Barani Ulaya
haririKombe la mabingwa wa Ulaya
haririMsimu | Mzunguko | Klabu | Nyumbani | Ugenini | Jumla |
---|---|---|---|---|---|
1970–1971 | Mzunguko wa kwanza | Saint-Étienne | 3–0 | 0–1 | 3–1 |
Mzunguko wa pili | Atlético Madrid | 2–1 | 0–3 | 2–4 |
Kombe la UEFA
haririMsimu | Mzunguko | Klabu | Nyumbani | Ugenini | Jumla |
---|---|---|---|---|---|
1972–1973 | Mzunguko wa kwanza | Olympiacos | 0–1 | 1–2 | 1–3 |
1993–1994 | Mzunguko wa kwanza | Dinamo București | 2–0 | 2–3 | 4–3 |
Mzunguko wa pili | Trabzonspor | 0–0 | 1–1 | 1–1 | |
Mzunguko wa tatu | Mechelen | 2–0 | 3–1 | 5–1 | |
Robo fainali | Juventus | 1–0 | 2–1 | 3–1 | |
Nusu fainali | Inter Milan | 3–2 | 0–3 | 3–5 |
Tazama pia
haririViungu vya nje
hariri- Official website
- Site about Cagliari's 1969–70 Serie A-winning season Ilihifadhiwa 11 Septemba 2019 kwenye Wayback Machine.