Carlos Salcedo

Carlos Salcedo Hern√°ndez (alizaliwa 29 Septemba 1993) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Ujerumani iitwayo Eintracht Frankfurt na timu ya taifa ya Mexiko.

Kazi ya klabuEdit

Salcedo alianza kazi yake akiwa kijana katika klabu ya C.D. Guadalajara mwaka 2006 na alihamia klabu ya Tigres UANL na kisha klabu ya Real Salt Lake, ambako alianza kazi yake ya kitaaluma mwaka 2013.

Carlos Salcedo alirejea klabu ya Guadalajara mwaka 2015, na mwaka uliofuata alihamia nje ya nchi kwa mkopo klabu ya Fiorentina na Eintracht Frankfurt,akicheza hadi mwisho mwaka 2018.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlos Salcedo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.