Chris Brown (albamu)
Chris Brown ni albamu ya kwanza ya msanii wa muziki wa R&B-Kimarekani Chris Brown. Kama ilivyo kwa wasanii wengi wa Marekani, yaani, jina la msanii ndiyo jina la albamu - hasa za kwanza huwa wanatoa jina lao. Albamu ilitolewa mnamo 29 Novemba 2005 nchini Marekani kupitia studio Jive Records. Ilipata mafanikio makubwa kabisa kibiashara na kutunukiwa platinamu mbili mfululizo na Recording Industry Association of America (RIAA) kwa kufanya vizuri kwa Marekani na kuuza nakala milioni 3 kwa hesabu ya dunia nzima.
Chris Brown | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Chris Brown | |||||
Imetolewa | Novemba 29, 2005 (tazama historia ya kutolewa) |
||||
Imerekodiwa | Februari – Mei 2005 Criteria Recording Studio (Miami, Florida) |
||||
Aina | R&B, Pop | ||||
Urefu | 55:44 | ||||
Lebo | Jive, Zomba Sony BMG (International distribution) |
||||
Mtayarishaji | Chris Brown, Tina Davis, Mark Pitts Scott Storch, Jermaine Dupri, Bryan-Michael Cox, Kendrick Dean, The Underdogs, Dre na Vidal, Shea Taylor, Tyler Matthews, Cool na Dre, Sean Garrett, Nick Pope, Hunter Atkins, Dabling Harward, Shannon "Slam" Lawrence, Oak, Eddie Hustle, Carlos Paucar, LRoc |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Chris Brown | |||||
|
|||||
Kasha badala | |||||
Kasha badala | |||||
Single za kutoka katika albamu ya Chris Brown | |||||
|
Orodha ya nyimbo
haririToleo la kawaida
- "Intro" (Chris Brown, E. Clement) nandash; 0:56
- "Run It!" akishirikiana na Juelz Santana Imetayarishwa na Scott Storch(S. Garrett, S. Storch, L. James) nandash; 3:49
- "Yo (Excuse Me Miss)" (A. Harris, V. Davis, J. Austin) nandash; 3:49
- "Young Love" (K. Hilson, J. Que, V. Barrett, A. Dixon, B. Elli, H. Mason Jr., D. Thomas) nandash; 3:38
- "Gimme That" (S. Garrett, S. Storch) nandash; 3:06
- "Ya Man Ain't Me" (E. Dawkins, A. Dixon, H. Mason Jr., S. Russell, D. Thomas, Tank) nandash; 3:34
- "Winner" (C. Brown, B. M. Cox, K. Dean, A. Shropshire) nandash; 4:04
- "Ain't No Way (You Won't Love Me)" (W. Felder, S. Garrett, F. Zhang) nandash; 3:23
- "What's My Name" akishirikiana na Noah (C. Brown, A. Lyon, M. Valenzano) nandash; 3:52
- "Is This Love" (E. Dawkins, A. Dixon, H. Mason Jr., S. Russell, D. Thomas) nandash; 3:17
- "Poppin'" (A. Harris, V. Davis, J. Austin) nandash; 4:25
- "Just Fine" (C. Brown, D. Glass, P. Zora, M. Winans, S. Lawrence) nandash; 3:52
- "Say Goodbye" (B. M. Cox, K. Dean, A. Shropshire) nandash; 4:49
- "Run It! [Remix]" akishirikiana na Bow Wow na Jermaine Dupri (J. Dupri, S. Garrett/, S. Moss, S. Storch) nandash; 4:04
- "Thank You" (C. Brown, L. Flemming, S. Taylor, T. Davis) nandash; 4:26
Nyimbo za ziada
- "Gimme That [Remix]" akishirikiana na Lil Wayne (S. Garrett, S. Storch, D. Carter) – 3:56
Kimataifa (nje ya Amerika ya Kaskazini)
- "So Glad" (C. Brown, B. Gordy, I. Barias, C. Haggin, D. Lussier, A. Mizel F. Perren, Shaffer Smith) nandash; 2:57
- "Thank You" nandash; 4:49
Chati
haririChati (2005) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Austrian Albums Chart[1] | 66 |
Belgium Albums Chart (Flanders)[1] | 47 |
Dutch Albums Chart[1] | 47 |
European Top 100 Albums | 42 |
French SNEP Albums Chart | 51 |
German Albums Chart | 31 |
Irish Albums Chart | 71 |
New Zealand RIANZ Albums Chart | 8 |
Swiss Albums Chart | 18 |
UK Albums Chart | 29 |
U.S. Billboard 200 | 2 |
U.S. Billboard Top RnaB/Hip-Hop Albums[2] | 1 |
Historia ya kutolewa
haririNchi | Tarehe |
---|---|
United States | 29 Novemba 2005 |
Kanada | 8 Desemba 2005 |
Jamaica | 21 Desemba 2005 |
Brazil | 18 Januari 2006 |
Ulaya | 17 Februari 2006 |
Uingereza | 26 Juni 2006 |
Mexiko | 4 Machi 2006 |
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 "Chris Brown - Chris Brown - Music Charts". aCharts. Iliwekwa mnamo 2007-12-21.
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedBillboard charts
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chris Brown (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |