Kidenenda
Ndege wadogo wa jenasi Cisticola na Incana, familia Cisticolidae
(Elekezwa kutoka Cisticola)
Kidenenda | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 2: |
Videnenda ni ndege wadogo wa jenasi Cisticola na Incana katika familia Cisticolidae. Chimbuko la jenasi lipo Afrika lakini spishi kadhaa zinatokea Ulaya na Asia pia, spishi moja hata mpaka Australia. Ndege hawa hupatikana kwa maeneo wazi, k.m. savana, jangwa, mbuga na mabwawa. Rangi yao kuu ni kahawia mara nyingi pamoja na michirizi mizito na pengine nyekundu au njano. Hula wadudu. Hulijenga tago lao kwa umbo wa kikombe ndani ya uoto mzito; mara nyingi tago limefunika na manyasi yaliyofumika. Jike huyataga mayai 3-5.
Spishi
hariri- Cisticola aberdare, Kidenenda wa Aberdare (Aberdare Cisticola)
- Cisticola aberrans, Kidenenda Mvivu (Lazy Cisticola)
- Cisticola angusticauda, Kidenenda Mkia-mrefu (Long-tailed au Tabora Cisticola)
- Cisticola anonymus, Kidenenda Mpayupayu (Chattering Cisticola)
- Cisticola aridulus, Kidenenda-jangwa (Desert Cisticola)
- Cisticola ayresii, Kidenenda Mpigamabawa (Wing-snapping Cisticola)
- Cisticola bodessa, Kidenenda Borana (Boran Cisticola)
- Cisticola brachypterus, Kidenenda Mpigamluzi (Short-winged au Siffling Cisticola)
- Cisticola brunnescens, Kidenenda Baka (Pectoral-patch Cisticola)
- Cisticola bulliens, Kidenenda Mnong'onaji (Bubbling Cisticola)
- Cisticola cantans, Kidenenda Mwimbaji (Singing Cisticola)
- Cisticola carruthersi, Kidenenda wa Carruthers (Carruthers's Cisticola)
- Cisticola cherina, Kidenenda wa Madagaska (Madagascar Cisticola)
- Cisticola chiniana, Kidenenda Taratara (Rattling Cisticola)
- Cisticola chubbi, Kidenenda Tumbo-jeupe (Chubb's Cisticola)
- Cisticola cinereolus, Kidenenda Kijivu (Ashy Cisticola)
- Cisticola cinnamomeus, Kidenenda Utosi-mweupe (Pale-crowned Cisticola)
- Cisticola dambo, Kidenenda-mbuga (Dambo Cisticola)
- Cisticola discolor, Kidenenda Mgongo-kahawia (Brown-backed Cisticola)
- Cisticola distinctus, Kidenenda wa Lynes (Lynes's Cisticola)
- Cisticola emini, Kidenenda Mpendamawe (Rock-loving Cisticola)
- Cisticola erythrops, Kidenenda Uso-mwekundu (Red-faced Cisticola)
- Cisticola eximius, Kidenenda Mgongo-mweusi (Black-backed Cisticola)
- Cisticola fulvicapilla, Kidenenda Utosi-mwekundu (Neddicky au Piping Cisticola)
- Cisticola galactotes, Kidenenda Mabawa-mekundu (Rufous-winged Cisticola)
- Cisticola guinea, Kidenenda wa Gini (Dorst's Cisticola)
- Cisticola haematocephalus, Kidenenda Pwani (Coastal Cisticola)
- Cisticola haesitatus, Kidenenda wa Sokotra (Socotra Cisticola)
- Cisticola hunteri, Kidenenda wa Hunter (Hunter's Cisticola)
- Cisticola juncidis, Kidenenda Zezete (Zitting Cisticola)
- Cisticola lais, Kidenenda Mwombolezaji (Wailing Cisticola)
- Cisticola lateralis, Kidenenda Mpigambinja (Whistling Cisticola)
- Cisticola luapula, Kidenenda wa Luapula (Luapula Cisticola)
- Cisticola lugubris, Kidenenda Habeshi (Ethiopian Cisticola)
- Cisticola marginatus, Kidenenda Mkuu (Winding Cisticola)
- Cisticola melanurus, Kidenenda Mkia-mweusi (Black- au Slender-tailed Cisticola)
- Cisticola nana, Kidenenda Mdogo (Tiny Cisticola)
- Cisticola natalensis, Kidenenda Kusi (Croaking Cisticola)
- Cisticola nigriloris, Kidenenda Kope-nyeusi (Black-lored Cisticola)
- Cisticola njombe, Kidenenda wa Njombe (Churring Cisticola)
- Cisticola pipiens, Kidenenda Tilitili (Chirping Cisticola)
- Cisticola restrictus, Kidenenda wa Tana (Tana River Cisticola)
- Cisticola robustus, Kidenenda Mnene (Stout Cisticola)
- Cisticola ruficeps, Kidenenda Kichwa-chekundu (Red-pate Cisticola)
- Cisticola rufilatus, Kidenenda Mkia-mwekundu (Tinkling Cisticola)
- Cisticola rufus, Kidenenda Mwekundu (Rufous Cisticola)
- Cisticola subruficapilla, Kidenenda Mgongo-kijivu (Grey-backed Cisticola)
- Cisticola textrix, Kidenenda Madoadoa (Cloud Cisticola)
- Cisticola tinniens, Kidenenda wa Levaillant (Levaillant's Cisticola)
- Cisticola troglodytes, Kidenenda Kahawianyekundu (Foxy Cisticola)
- Cisticola woosnami, Kidenenda Sauti-madende (Trilling Cisticola)
- Cisticola sp. nov. 1, Kidenenda Mkia-mweupe (White-tailed Cisticola)
- Cisticola sp. nov. 2, Kidenenda wa Kilombero ( Kilombero Cisticola)
- Incana incana, Kidenenda Mweupe (Socotra Warbler)
Spishi ya Asia na Australia
hariri- Cisticola exilis (Golden-headed Cisticola)
Picha
hariri-
Kidenenda-jangwa
-
Kidenenda mpigamabawa
-
Kidenenda baka
-
Kidenenda mwimbaji (kijana)
-
Kidenenda wa Madagaska
-
Kidenenda taratara
-
Kidenenda tumbo-jeupe
-
Kidenenda kijivu
-
Kidenenda utosi-mweupe
-
Kidenenda uso-mwekundu
-
Kidenenda utosi-mwekundu
-
Kidenenda mkuu
-
Kidenenda zezete
-
Kidenenda mwombolezaji
-
Kidenenda tilitili
-
Kidenenda mnene
-
Kidenenda mgongo-kijivu
-
Kidenenda wa Levaillant
-
Golden-headed cisticola