Mbega

(Elekezwa kutoka Colobus)

Kwa mfalme au mwene mkuu wa kwanza wa Washambaa tazama "Mbegha"

Mbega
Mbega mweupe kusi
Mbega mweupe kusi
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana kiasi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Cercopithecoidea
Familia: Cercopithecidae (Wanyama walio na mnasaba na kima)
Nusufamilia: Colobinae (Mbega)
Jenasi: Colobus Illiger, 1811

Nasalis E. Geoffroy, 1812
Piliocolobus Rochebrune, 1877
Presbytis Eschscholtz, 1821
Procolobus Rochebrune, 1877
Pygathrix E. Geoffroy, 1812
Rhinopithecus Milne-Edwards, 1872
Semnopithecus Desmarest, 1822
Simias Miller, 1903
Trachypithecus Reichenbach, 1862

Mbega (pia: mbegha [1] ) ni kima wa nusufamilia Colobinae katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika na Asia. Spishi nyingi huishi mitini lakini spishi nyingine huishi savana zenye miti na hata mijini. Vidole gumba vya spishi za Afrika vimekuwa vigutu pengine ili kurahisisha kwenda katika miti. Mbega hula majani, maua na matunda, pengine wadudu na wanyama wadogo.

Spishi za Afrika hariri

Spishi za Asia hariri

Picha hariri

Marejeo hariri

  1. linganisha kamusi kama http://www.websters-dictionary-online.org/definitions/monkey[dead link] ; lakini kuna uwezekano ya kwamba tahajia hii ni ama kosa la kuchanganya "mbega" = kima na Mbegha= chifu wa kihistoria ya Washambaa au matamshi ya kieneo

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.