Mbega
Kwa mfalme au mwene mkuu wa kwanza wa Washambaa tazama "Mbegha"
Mbega | ||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mbega mweupe kusi
| ||||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||||
|
Mbega (pia: mbegha [1] ) ni kima wa nusufamilia Colobinae katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika na Asia.
Spishi nyingi huishi mitini lakini spishi nyingine huishi savana zenye miti na hata mijini. Vidole gumba vya spishi za Afrika vimekuwa vigutu pengine ili kurahisisha kwenda katika miti. Mbega hula majani, maua na matunda, pengine wadudu na wanyama wadogo.
Spishi za Afrika
hariri- Colobus angolensis, Mbega Mweupe Kusi (Southern Black-and-white Colobus)
- Colobus a. angolensis, Mbega wa Sclater (Sclater's Black-and-white Colobus)
- Colobus a. cordieri, Mbega wa Cordier (Cordier's Black-and-white Colobus)
- Colobus a. cottoni, Mbega wa Powel-Cotton (Powel-Cotton's Black-and-white Colobus)
- Colobus a. nova, Mbega Mweupe wa Mahale (Mahale Black-and-white Colobus)
- Colobus a. palliatus, Mbega Mweupe Pwani (Tanzania Black-and-white Colobus)
- Colobus a. prigoginei, Mbega wa Prigogine (Prigogine's Black-and-white Colobus)
- Colobus a. ruwenzorii, Mbega Mweupe wa Ruwenzori (Ruwenzori Black-and-white Colobus)
- Colobus guereza (=abyssinicus), Mbega Mweupe Mashariki, Kuluzu au Dolo (Eastern black-and-white colobus)
- Colobus g. caudatus, Mbega wa Kilima Njaro (Kilimanjaro Colobus)
- Colobus g. dodingae, Mbega wa Vilima Dodinga (Dodinga Hills Colobus)
- Colobus g. gallarum, Mbega wa Milima Djaffa (Djaffa Mountains Colobus)
- Colobus g. guereza, Mbega wa Mto Omo (Omo River Colobus)
- Colobus g. kikuyuensis, Mbega wa Mlima Kenya (Mt. Kenya colobus)
- Colobus g. matschiei, Mbega wa Mau (Mau Forest Colobus)
- Colobus g. occidentalis, Mbega Mweupe Magharibi (Western au Congo Black-and-white Colobus)
- Colobus g. percivali, Mbega wa Mlima Uaraguess (Mt. Uaraguess Colobus)
- Colobus polykomos, Mbega Mfalme (King Colobus)
- Colobus satanas, Mbega Mweusi (Black Colobus)
- Colobus vellerosus, Mbega Mapaja-meupe (White-thighed Colobus)
- Piliocolobus badius, Mbega Mwekundu Magharibi (Western Red Colobus)
- Piliocolobus foai, Mbega Mwekundu wa Afrika ya Kati (Central African Red Colobus)
- Piliocolobus gordonorum, Mbega Mwekundu wa Udzungwa (Udzungwa Red Colobus)
- Piliocolobus kirkii, Mbega Mwekundu wa Unguja (Zanzibar Red Colobus)
- Piliocolobus pennantii, Mbega Mwekundu wa Pennant (Pennant's Colobus)
- Piliocolobus preussi, Mbega Mwekundu wa Preuss (Preuss's Red Colobus)
- Piliocolobus rufomitratus, Mbega Mwekundu wa Tana (Tana River Red Colobus)
- Piliocolobus tephrosceles, Mbega Mwekundu wa Uganda (Ugandan Red Colobus)
- Piliocolobus tholloni, Mbega Mwekundu wa Chuapa (Thollon's Red Colobus)
- Procolobus verus, Mbega Kijanikijivu (Olive Colobus)
Spishi za Asia
hariri- Nasalis larvatus (Proboscis Monkey)
- Presbytis chrysomelas (Sarawak Surili)
- Presbytis comata (Javan Surili)
- Presbytis femoralis (Banded Surili)
- Presbytis frontata (White-fronted Surili)
- Presbytis hosei (Hose's Langur)
- Presbytis melalophos (Sumatran Surili)
- Presbytis natunae (Natuna Island Surili)
- Presbytis potenziani (Mentawai Langur or Joja)
- Presbytis rubicunda (Maroon Leaf Monkey)
- Presbytis siamensis (White-thighed Surili)
- Presbytis thomasi (Thomas's Langur)
- Pygathrix cinerea (Grey-shanked Douc)
- Pygathrix nemaeus (Red-shanked Douc)
- Pygathrix nigripes (Black-shanked Douc)
- Rhinopithecus avunculus (Tonkin Snub-nosed Monkey)
- Rhinopithecus bieti (Black Snub-nosed Monkey)
- Rhinopithecus brelichi (Grey Snub-nosed Monkey)
- Rhinopithecus roxellana (Golden Snub-nosed Monkey)
- Semnopithecus ajax (Kashmir Grey Langur)
- Semnopithecus dussumieri (Southern Plains Grey Langur)
- Semnopithecus entellus (Northern Plains Grey Langur)
- Semnopithecus hector (Tarai Grey Langur)
- Semnopithecus hypoleucos (Black-footed Grey Langur)
- Semnopithecus priam (Tufted Grey Langur)
- Semnopithecus schistaceus (Nepal Grey Langur)
- Simias concolor (Pig-tailed Langur)
- Trachypithecus auratus (Javan Lutung)
- Trachypithecus barbei (Tenasserim Lutung)
- Trachypithecus cristatus (Silvery Lutung or Silvered Leaf Monkey)
- Trachypithecus delacouri (Delacour's Langur)
- Trachypithecus ebenus (Indochinese Black Langur)
- Trachypithecus francoisi (François's Langur)
- Trachypithecus geei (Gee's Golden Langur)
- Trachypithecus germaini (Indochinese Lutung)
- Trachypithecus hatinhensis (Hatinh Langur)
- Trachypithecus johnii (Nilgiri Langur)
- Trachypithecus laotum (Laotian Langur)
- Trachypithecus obscurus (Dusky Leaf Monkey)
- Trachypithecus phayrei (Phayre's Leaf Monkey)
- Trachypithecus pileatus (Capped Langur)
- Trachypithecus poliocephalus (White-headed Langur)
- Trachypithecus popa (Popa Langur)
- Trachypithecus shortridgei (Shortridge's Langur)
- Trachypithecus vetulus (Purple-faced Langur)
Picha
hariri-
Mbega mweupe mashariki
-
Mbega mfalme
-
Mbega mwekundu magharibi
-
Mbega mwekundu wa Unguja
-
Mbega mwekundu wa Uganda
-
Proboscis monkey
-
Red-shanked douc
-
Black snub-nosed monkey
-
Golden snub-nosed monkey
-
Southern plains grey langurs
-
Northern plains grey langurs
-
Black-footed grey langur
-
Tufted grey langur
-
Javan lutung
-
Silvery lutung
-
François's langur
-
Golden langur
-
Nilgiri langur
-
Dusky leaf monkey
-
Capped langur
Marejeo
hariri- ↑ linganisha kamusi kama Websters dictionary; lakini kuna uwezekano wa kwamba tahajia hiyo ni ama kosa la kuchanganya "mbega" = kima na Mbegha= chifu wa kihistoria wa Washambaa au matamshi ya kieneo
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.