Cuanza Kaskazini
Cuanza Kaskazini (kwa Kireno: Cuanza Norte) ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola.
Cuanza Kaskazini Cuanza Norte |
|
Mahali pa Mkoa wa Cuanza Kaskazini katika Angola | |
Nchi | Angola |
---|---|
Mji mkuu | N'dalatando |
Una wakazi 385.200 kwenye eneo la km² 24,190. Makao makuu ya mkoa yapo N'dalatando.
Tazama pia
hariri
Bengo | Benguela | Bié | Cuando Cubango | Cuanza Kaskazini | Cuanza Kusini | Cunene | Huambo | Huíla | Kabinda | Luanda | Lunda Kaskazini | Lunda Kusini | Malanje | Moxico | Namibe | Uíge | Zaire |
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Cuanza Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |