Lunda Kusini

Mkoa wa Lunda Kusini (Kireno: Lundua Sul) ni kati ya mikoa nane ya Angola lenye wakazi 169.100 kwenye eneo la 45.649 km². Makao makuu ya mkoa yapo Saurimo.

Lunda Kusini
Lunda Sul
Mahali pa Mkoa wa Lunda Kusini katika Angola
Mahali pa Mkoa wa Lunda Kusini katika Angola
Nchi Angola
Mji mkuu Saurimo
Eneo
 - Mkoa 45,649 km²
Idadi ya wakazi
 - 169.100

Tazama piaEdit


  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lunda Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.