Namibe (mkoa)
Mkoa wa Namibe ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola.
Namibe |
|
Mahali pa Mkoa wa Namibe katika Angola | |
Nchi | Angola |
---|---|
Mji mkuu | Namibie |
Eneo | |
- Jumla | 58,137 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 107.300 |
Una wakazi 107.300 kwenye eneo la km² 58.137. Makao makuu ya mkoa yapo Namibie.
Tazama pia
hariri
Bengo | Benguela | Bié | Cuando Cubango | Cuanza Kaskazini | Cuanza Kusini | Cunene | Huambo | Huíla | Kabinda | Luanda | Lunda Kaskazini | Lunda Kusini | Malanje | Moxico | Namibe | Uíge | Zaire |
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Namibe (mkoa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |