Lunda Kaskazini

Mkoa wa Lunda Kaskazini (Kireno: Lunda Norte) ni kati ya mikoa nane ya Angola lenye wakazi 305.900 kwenye eneo la 102.783 km². Makao makuu ya mkoa yapo Lucapa.

Lunda Kaskazini
Lunda Norte
Mahali pa Mkoa wa Lunda Kaskazini katika Angola
Mahali pa Mkoa wa Lunda Kaskazini katika Angola
Nchi Angola
Mji mkuu Lucapa
Eneo
 - Mkoa 102,783 km²
Idadi ya wakazi
 - 305.900

Tazama piaEdit


  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lunda Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.