Uíge (mkoa)
Kwa maana nyingine, tazama Uíge (maana).
Mkoa wa Uíge ni kati ya mikoa nane ya Angola lenye wakazi 802.700 kwenye eneo la 58.698 km². Makao makuu ya mkoa yapo Uíge.
Uíge |
|
Mahali pa Mkoa wa Uíge katika Angola | |
Nchi | Angola |
---|---|
Mji mkuu | Uíge |
Eneo | |
- Mkoa | 58,698 km² |
Idadi ya wakazi | |
- | 802.700 |
Tazama piaEdit
Bengo | Benguela | Bié | Cuando Cubango | Cuanza Kaskazini | Cuanza Kusini | Cunene | Huambo | Huíla | Kabinda | Luanda | Lunda Kaskazini | Lunda Kusini | Malanje | Moxico | Namibe | Uíge | Zaire |
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uíge (mkoa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |