Cuthbert wa Lindisfarne

Mt. Cuthbert wa Lindisfarne katika kioo cha rangi cha kanisa kuu la Gloucester.

Cuthbert wa Lindisfarne (634 hivi – 20 Machi 687) alikuwa mmonaki, askofu na hatimaye mkaapweke[1] wa Ukristo wa Kiselti mipakani mwa Uingereza na Uskoti wa leo. [2]

Tangu kale anaadhimishwa kama mtakatifu, hasa tarehe 20 Machi, lakini pia 31 Agosti na 4 Septemba.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Battiscombe, 125–141; Farmer, 60
  2. Cuthbert came from the Bernicia part of the new Northumbrian kingdom, which was finally united in 634 around the time of his birth.

MarejeoEdit

Marejeo mengineEdit

  • B. Colgrave (ed), Two Lives of St. Cuthbert (Cambridge, 1940).
  • Marner, Dominic, St. Cuthbert: His Life and Cult in Medieval Durham (Toronto, University of Toronto Press, 2000).
  • Mechthild Gretsch, "Cuthbert: from Northumbrian Saint to Saint of All England," in Idem, Aelfric and the Cult of Saints in Late Anglo-Saxon England (Cambridge, CUP, 2006) (Cambridge Studies in Anglo-Saxon England, 34),
  • Crumplin, Sally, "Cuthbert the cross-border saint in the twelfth century," in Boardman, Steve, John Reuben Davies, Eila Williamson (eds), Saints' Cults in the Celtic World (Woodbridge, Boydell Press, 2009) (Studies in Celtic History),

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cuthbert wa Lindisfarne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.