Daniel Narcis Mloka

Daniel Narcis Mloka (29 Desemba 1938 - 22 Machi 1994) alikuwa balozi wa Tanzania nchini Uswidi kati ya mwaka 1983 hadi mwaka 1989 pia alikuwa balozi nchini Kanada.

Akiwa mdogo wa mwandishi mashuhuri wa mashairi nchini Tanzania, Joseph Narcis Mloka, Danieli Mloka naye alikuwa mwandishi wa vitabu na mshairi na aliandika riwaya maarufu Baharia Bila Meli, Oparesheni Pata potea na kitabu kingine katika lugha ya Kiingereza cha The Cocktail.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Narcis Mloka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.