Dini za Abrahamu

Dini za Abrahamu ni dini zenye asili katika Mashariki ya Kati ambazo zinashika imani katika Mungu mmoja tu.[1]

Nembo za dini za Abrahamu: juu kushoto msalaba wa Ukristo, nyota na robomwezi vya Uislamu, nyota ya ncha tisa ya Bahá'í, nyota ya Daudi ya Uyahudi.
Dini kuu duniani na asilimia ya waumini kati ya binadamu wote.

AsiliEdit

Dini zinamchukua Abrahamu kama kielelezo cha mwamini na rafiki wa Mungu.[2][3] Dini kuu za jamii hiyo (kadiri ya tarehe ya kutokea) ni: Uyahudi (KK), Ukristo (karne ya 1 BK) na Uislamu (karne ya 7).[4][5][6][7]

UeneziEdit

Inakadiriwa kwamba 54% za watu wote duniani wanafuata dini hizo, zikiwemo: Ukristo (33%), Uislamu (21%) na Uyahudi (0.2%).[8][9]

TanbihiEdit

  1. Spirituality and Psychiatry - Page 236, Chris Cook, Andrew Powell, A. C. P. Sims - 2009
  2. Philosophy of Religion. Encyclopædia Britannica (2010). Jalada kutoka ya awali juu ya 21 July 2010. Iliwekwa mnamo 24 June 2010.
  3. C.J. Classification of religions: Geographical. Encyclopædia Britannica, 2007. Accessed: 15 May 2013
  4. Massignon 1949, pp. 20–23
  5. Smith 1998, p. 276
  6. Derrida 2002, p. 3
  7. . ISSN 1467-9809 . http://bahai-library.com/lawson_bahai_religious_history. Retrieved September 5, 2013.
  8. The numbers were based on upper bounds and do not add to 100%. Hunter, Preston. Major Religions of the World Ranked by Number of Adherents. Adherents.com.
  9. Worldwide Adherents of All Religions by Six Continental Areas, Mid-2002. Encyclopædia Britannica (2002). Jalada kutoka ya awali juu ya 12 March 2007. Iliwekwa mnamo 15 September 2014.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dini za Abrahamu kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.