Donati wa Afrika ni jina la Wakristo wasiopungua 6 waliofia dini yao kaskazini mwa Afrika katiKA karne za kwanza BK.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu zao huadhimishwa tarehe 27 Januari, 1 Machi (Donati wa Karthago[1]), 3 Juni, 14 Julai (Papias na Donati[2]), 16 Novemba, 25 Novemba.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.