Dreams
"Dreams" ni wimbo kutoka katika albamu ya kwanza ya rapa The Game - The Documentary. Wimbo ilitolewa mnamo mwaka wa 2005, ikiwa chini ya utayarishaji wake Kanye West. Wimbo imechukua baadhi ya vionjo vya wimbo wa "No Money Down" ulioimbwa na Jerry Butler.
“Dreams” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya The Game kutoka katika albamu ya The Documentary | |||||
Imetolewa | 7 Juni 2005 | ||||
Muundo | CD | ||||
Imerekodiwa | 2004 | ||||
Aina | Hip hop | ||||
Urefu | 4:46 | ||||
Studio | G-Unit/Aftermath | ||||
Mtunzi | The Game | ||||
Mtayarishaji | Kanye West | ||||
Certification | |||||
Mwenendo wa single za The Game | |||||
|
Wimbo ulitungwa kwa ajili ya Bi. Yetunde Price (dada mkubwa wa wachezaji nyota wa mpira wa tenisi - Serena Williams na Venus Williams), aliyeuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa mnamo tar. 14 Septemba ya mwaka wa 2003. Familia ya Williams, nayo inatokea mahala palepale anapoishi na kuzaliwa rapa The Game katika mji wa Compton, California.
Video
haririMgeni mwalikwa
haririAliouza sura sana katika video hii ya dreams ni Dr. Dre pekee aliyeonekana mara kwa mara akirekebisha mitambo.
Marejeo katika muziki
haririKatika wimbo wa Dreams, The Game ametaja watu wengi maarufu na albamu za muziki kama vile:
- 2001
- 2Pac
- 50 Cent (Jina kamili: Curtis Jackson)
- Aaliyah
- Aftermath Entertainment
- All Eyez on Me
- Dave Mays
- DJ Clue
- DJ Whoo Kid
- Doggystyle
- Dr. Dre
- Eazy-E (pia anafahamika kama Eric Wright)
- Frankie Beverly
- Huey Newton
- Jam Master Jay
- Yesu
- "Juicy" ya The Notorious B.I.G. ("It was all a dream")
- Kanye West
- King gazeti
- Left Eye
- LL Cool J
- Marshall Mathers (Eminem)
- Mase
- Martin Luther King
- Marvin Gaye
- Mike Lem
- Mýa
- "N.Y. State of Mind" ya Nas ("Sleep is the cousin of death")
- Ready to Die
- Reasonable Doubt
- Ronald Reagan
- Serena Williams
- Snoop Dogg
- The Source gazeti
- Stevie Wonder
- Nigga Wit' An Attitude Vol. 1
- Venus Williams
- Vibe gazeti
- Vivica A. Fox
- Whitney Houston
- Yetunde Price
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dreams kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |