Editha wa Wilton (jina asili Eadgyth limerahisishwa pia kama Edith au Ediva; Kemsing, Kent, Uingereza, 961 hivi[1]Wilton Abbey, 15 Septemba 984) alikuwa binti wa mfalme Edgar akawa mmonaki katika abasia ya Wilton.

Mt. Editha wa Wilton.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki na Waanglikana tarehe 16 Septemba[2][3].

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  • Goscelin, Life of St Edith (of Wilton), ed. Stephanie Hollis, Writing the Wilton Women: Goscelin’s Legend of Edith and Liber Confortatorius (Medieval Women Texts and Contexts 9; Turnhout: Brepols, 2004)
  • St Editha of Wilton (Catholic Truth Society, 1903, 6th edition, 24 pp.)[4]

TanbihiEdit

  1. Yorke, Barbara (2008). "The Women in Edgar's Life", Edgar, King of the English 959–975. Woodbridge, UK: The Boydell Press, 145. ISBN 978-1-84383-928-6. 
  2. Martyrologium Romanum
  3. Francis Goldie, Saints of Wessex and Wiltshire (1885) p. 28
  4. St Editha of Wilton at books.google.com

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.