Etelvoldi (Winchester, 904/909 - Beddington, Surrey, 1 Agosti 984) alikuwa mmonaki, abati na hatimaye askofu wa Winchester, Uingereza, tangu mwaka 963 hadi kifo chake.

Etelvoldi karibu na mfalme Edgar Mpendaamani.

Alishughulikia urekebisho wa umonaki kisiwani.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia Edit

Tanbihi Edit

Marejeo Edit

Marejeo mengine Edit

  • Browett, Rebecca (April 2016). "The Fate of Anglo-Saxon Saints after the Norman Conquest of England: Æthelwold of Winchester as a Case Study". History 101 (345): 183–200.
  • (1988) Bishop Æthelwold: His Career and Influence. The Boydell Press. ISBN 978-0-85115-705-4. 
  • Æthelwold of Winchester, The Old English Rule of St. Benedict with Related Old English Texts, translated by Jacob Riyeff (Kalamazoo, MI: Cistercian Publications, 2017)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.