Eujenia wa Roma
Eujenia wa Roma (alifariki mjini Roma[1], Italia, 258 hivi[2]) alikuwa mwanamke Mkristo wa jiji hilo aliyeuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake ni tarehe 25 Desemba[3] au nyinginezo katika Ukristo wa Mashariki[4].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90625
- ↑ G.B. De Rossi, RSC, I, pp. 180-181.
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ "Commemoration of the Virgin Eugine, her father - Philippus, her mother Klothia and her two servants". Araratian Patriarchal Diocese of the Armenian Apostolic Church. Iliwekwa mnamo 4 Januari 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Marejeo
hariri- Giovanni Battista de Rossi, La Roma Sotterranea Cristiana descritta ed illustrata (6 voll.), Roma 1864-1877.
- Liber Pontificalis. Texte, introduction et commentaire par l'abbé L. Duchesne (2 voll.), Parigi-Torino 1886-1892.
- Bibliotheca Hagiographica Latina, antiquae et mediae aetatis, ediderunt Socii Bollandiani, Bruxelles 1900-1901.
- Bibliotheca Sanctorum (12 voll.), Istituto Giovanni XXIII della Pontificia Università Lateranense, Città nuova, Roma 1961-1971.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Life and Martyrdom of St. Eugenia, Virgin and Martyr of the Christian Church Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- St. Eugenia of Rome Ilihifadhiwa 9 Machi 2021 kwenye Wayback Machine. (St Luke's Orthodox Church)
- Icon of Saint Eugenia Ilihifadhiwa 23 Februari 2022 kwenye Wayback Machine.
- Catholic Online
- Catholic Forum: Saint Eugenia
- Here Begin the Lives of SS. Prothus, Jacinctus, and Eugenia from Caxton's translation of the Golden Legend
- Saint Eugenia at the Christian Iconography web site
- Albani, Jenny P. Beyond the Borders of Femininity: St. Eugenia and St. Athanasia in Byzantine and Post-Byzantine Art. Actual Problems of Theory and History of Art: Collection of articles. Vol. 9. Ed: A. V. Zakharova, S. V. Maltseva, E. Iu. Staniukovich-Denisova. Lomonosov Moscow State University / St. Petersburg: NP-Print, 2019, pp. 306–317. ISSN 2312-2129.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |